MAKAMBAKO

MAKAMBAKO смотреть последние обновления за сегодня на .

peleka MAKAMBAKO

10644
280
14
00:01:10
18.04.2023

MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA

7363
41
0
00:13:36
22.10.2021

Katika kutimiza Agizo la Raisi Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe Samia Suluhu Hassan la kuwahamisha wafanyabiashara wadogo,kutoka maeneo yasiyo rasmi na kuwatengea maeneo rasmi,Halmashauri ya Mji Makambako imetenga maeneo makuu matatu:- 1. soko la maguvani 2. soko la magegele 3. vibanda vilivyopo katika kituo cha mabasi (stendi mpya) Lengo hasa ni kupangilia Mji na kufanya maboresho ya Mpangilio wa mji ili Kuvutia wawekezaji kwani Makambako ni lango kuu la uchuumi kwa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini Mwa Tanzania

TWENDE KUTALII MAKAMBAKO

131
2
1
00:01:05
23.05.2023

MJE MAKAMBAKO KUPUNGUZA STRESS

MTUHUMIWA WA MAUAJI MAKAMBAKO AFIKISHWA MAHAKAMANI.

10660
35
2
00:04:09
16.02.2022

MTUHUMIWA AFIKISHWA MAHAKAMANI. Mhakama ya hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Njombe imetaja shauri namba 5 la mwaka 2022 linalowakabili Daniel Mwilango na Nikson Nyamideko kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa katibu wa halmashaurui ya welei kanisa la Romani katoliki Kigango cha Parokia ya Makambako. Akitaja shauri hilo namba 5 la mwaka 2022 Hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Njombe Matilda Kayombo amesema watuhumiwa Daniel Mwilango ambae ni katekista mika 42 kabila mbena akishirikiana na Nikson Nyamwideko miaka 23 kabila mbena wote wakiwa wakazi wa Njombe wanadaiwa kuhusika na mauaji ya Nikson Myamba siku ya tar.7 mwezi February mwaka huu. Wakili wa Serikali Magdalena Kisoka akisaidiwa na Paul Nyonyani amesema kosa wanalokabiliwa nalo ni Kinyume na kifungu namba 196 na 197 cha kanuni ya adhabu Sura ya 16 ya sheria ya mkosa ya jinai kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019. Hata hivyo WaKILI Magdalena Kisoka amepanga tarehe 28 mwezi February kwaajili ya kutajwa tena shauri hilo kutokana na upelelezi wa shauri hilo. Watuhumiwa wamerejeshwa Rumande kutokana na kesi inayowakabili kutokuwa na dhamana. Ikumbukwe Nikson Nyamwideko na Daniel Mwilango wanashikiliwa kwa tuhuma za kuua na kasha kumkata kata vipande Nickson Myamba siku ya tarehe saba mwezi February mwaka huu katika mtaa wa Mangula Mjini Makambako.

Makambako All Star - R i p_Magufuli

12681
411
45
00:05:40
19.03.2021

*Follow B2k on* Facebook: 🤍 Instagram: 🤍 Youtube: 🤍 Asante kwa kutazama video zangu, Tafadhali subscribe.

Majambazi Wawili Wauwawa na Polisi Makambako

6713
22
0
00:15:39
08.06.2019

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU 🤍 INSTAGRAM 🤍 FACEBOOK 🤍 TWITTER 🤍

Tazama spidi ya Sauli bus akiwa barabarani kutoka makambako kuelekea mbeya Town

8226
33
5
00:01:33
07.05.2021

#spidi#sauli#buses#mbeya#makambako#Town#

SURPRISE BEACH MAKAMBAKO TANZANIA. #Makambako #SurpriseBeach@makambakodancers5041 Makambako leo

1279
19
5
00:18:26
03.01.2021

Somewhere in Tanzania at Makambako town in Njombe region there is a place to visit. It's a Surprise Beach...! See it's beauty and other richness... © herie16m

Uwata makambako (upendo kwaya)

341
0
0
00:00:30
17.02.2021

Kwa hali hii corona inapitia wapi maana haya ni mazoezi tosha

MAKAMBAKO/MUSIC/ SAPOTA WASAFI

9884
198
17
00:01:25
21.04.2021

DUNIA IMEOZA - TUMAINI KWAYA, KKKT MAKAMBAKO

223
1
1
00:08:52
20.05.2023

#shorts Dunia yetu leo imeoza kwa sababu ya mambo mengi maovu yanayotendeka. kila kukicha maovu yanaongezeka, ni huzuni sana. Tumaini Kwaya imeona haya na kuleta habari hii kwa njia hii ya wimbo huu.

Makambako TV-KIKUNDI CHA HAMASA MBIO ZA MWENGE 2018 MAKAMBAKO.

923
3
0
00:00:37
30.05.2018

MBIO ZA MWENGE 2018 MJI MAKAMBAKO.

Makambako Uwata sebenee

11743
16
1
00:00:45
15.10.2021

Mbatilo akiwa na kwaya ya upendo.... Uwata Makambako

IWENI WATENDAJI - TUMAINI KWAYA, KKKT MAKAMBAKO

707
4
1
00:07:46
19.05.2023

#shorts Iweni watendaji wa neno,wala si wasikilizaji tu. Kutoka Tumaini kwaya,KKKT Makambako-Njombe

Makambako TV-MKUTANO WA INJILI WA UWATA MSWISWI.

45644
115
39
00:06:31
17.09.2018

PICHA NA;MWINJILISTI DAVID MDOKE'

MAKAMBAKO MJI WAPITISHA BAJETI YA BIL 27 .5 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024/MADIWANI WACHEKELEA/

77
2
0
00:04:14
15.02.2023

Halmashauri ya Mji wa Makambako Wilaya ya Njombe Mkoani Njombe inakusudia Kukusanya Bil 27,503,,230,500 huku ikikusudia Kutumia Kiasi cha Bil 27.5 Kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 katika Matumizi mbalimbali ndani ya Halmashauri Hiyo ambapo Inaelezwa Kuwa Bil 16.3 zitatumika kwaaajiri ya Mishahara Kwa Watumishina huku katika Shughuli za Kiutawala na Utendaji itatumia Bil 3.6 huku Matumizi Kwenye Miradi ya Maendeleo Halmashauri hiyo ikitarajia kitumia Bil. 7.5 Awali akisoma Taarifa Hiyo katika kikao cha Ushauri DCC Kamimu Afisa Mipango na Uratibu Halmashauri ya Mji wa Makambako Inglibert Kindiba Ameeleza namna Halmahauri Hiyo Ilivyojipanga Kutekeleza Miradi Mbali mbali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

MAKAMBAKO CYPHER II (Official Video)

9365
292
133
00:07:49
07.06.2020

This is #MAKAMBAKOCYPHER Vol.01, Episode 02... . Artists Involved; 🤍Don_14 🤍owenyflowkiller 🤍Felix_dizorro 🤍youngstashon 🤍Ppt_pembuz 🤍Vasco_rhymes 🤍Martin_kubanda and 🤍t_gwan . Produced by 🤍mkwizu_official Under; 🤍malengouniverse . Director; 🤍director_deemond D.O.P 🤍thepabibble Visual; 🤍rango Grip; 🤍Ellypump All Under; 🤍Gwaphoto_production Dressed by 🤍_mkboy and Godbless . Watch and Subscribe on 🤍t_gwan youtube chanel now... Link; 🤍 #2020KaziKwaUhakika #TUSONGE

Makambako bus station

4894
17
2
00:01:50
27.10.2016

The view at Makambako bus station on Thursday, 20 October 2016.

Mchemko Uwata kwaya ya makambako yaongoza

658
0
1
00:01:06
06.10.2021

Kwaya ya upendo makambako ikiongoza watu kwenye kuchemka huko makete

SAFARI YA 1 KKKT MJIMWEMA MAKAMBAKO

914
5
3
00:02:32
28.01.2021

Wasiliana nasi kupitia 0719 000 689 Ili upate kurekodi audios na videos saaaaaafiiiii.Pia Tunafundisha Nyimboo,Sauti,Styles na Mziki.Pamoja na kutengeneza Biti

Kwaya ya furahini makambako jogoo!! Nihataria kwa mazoezi

83
1
0
00:03:45
02.06.2020

Makambako jogoo kwaya furahini filipi 4:4 ikimtumikia MUNGU kwa njia ya uibajii usisahau kusubscribe na kucomment ili uwe wakwanza kupata habari zetu motomoto

KWAYA YA FURAHINI MAKAMBAKO

123
1
0
00:03:40
23.05.2020

Kwaya ya furahini makambako wimbo nitakukimbilia wewe uonaye mateso yangu! Maana wewe ndiwe ngome na roho yangu

SODOMA NA GOMORA -MAKAMBAKO CHRISTIAN REVIVAL CHOIR

3329
5
0
00:04:10
18.10.2019

Dhambi zilipozidi katika miji ya Sodoma na Gomora Mungu aliamua kutEketeza ka moto

Назад
Что ищут прямо сейчас на
MAKAMBAKO 金經 Womens Masha الرباط roblox lankybox пригожин ватман bugi 華道 JICA delves iwalk 婉容 bmv Medieval алексей жидковский интервью алексей жидковский обзор гардероба алексей жидковский квартира феймтайм жидковский